NEEMA MALIFIMBO
Nina umri wa miaka 26 nikiwa kama mwanafunzi lakini pia kama mjasiriamali mdogo. Najihusisha na biashara ya chakula lakini pia nafanya kuuza viatu vya kika na kiume. Nikiwa kama mtoto wa like lengo langu ni kuja kuwa na restaurant kubwa lakini pia kuwa kama lango la mafanikio Kwa vijana wengi Kwa kuwaajiri.
This user has not made any comment.