GETRUDE MHANGA
Jina langu ni Getrude Mhanga. Ninaishi mkoa wa Iringa kata ya Mwangata. Ninafanya kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania kituo cha Iringa. Kazi yangu ni Mkutubi msaidizi. Pia ni mjasiliamali mdogo ninayejishughulisha na ufugaji wa kuku pamoja na kutembeza vitenge hapahapa Iringa mjini.
This user has not created any post.